GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 15, 2015

The Wedding of Derick & Dora. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Derick na Dora walipendeza sanaNiceHakika Dora alilitendea haki gauni lake la HarusiNice


Swagga la Ruka juuuuu
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron


The Team


Swaggaaaa

Kweli nimependa jinsi the Boys walivyo tokelezea!
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more


Kama kawa Maznat Bridal care walimtendea haki Dora

Pingu

Derick na Dora wakiingia ukumbini


KekiDah nimetamanije sasa huu msosi lol

Mwisho wakunuku