GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 29, 2014

The Wedding of Michael and Jacqueline. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Jacqueline na Michael hakika walitokelezea sana

Nice


Safi


Jacqueline alipambwa na Dada Maznat. Safi sana


Nimelikubali gauni la bibi Harusi. Safi sana


Swagga ndani ya Maznat B-C
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more


Safi

Kanisa walipofungia pingu

Jacqueline akiwasili kanisani

Michael akiwa anamsubiri mke wake mtarajiwa nje yakanisa. Hapa huwa kiroho kinakuwaga kinadunda!

PinguMichael akisine mkataba wakuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe huku Jacqueline akifuatilia kwa umakini kabisa!
Upendo kwa Dada
Dada Zake Jacqueline. Safi sana Fiona na Nelly

Upendo kwa Mama's

Upendo kwa kaka

The First Kiss and Dance. SafiMdogo wake Jacqueline akitowa salamu. Safi sana mzee wa Chagga Bite. Dah yani nimeona picha yako nimekumbuka Mtura na Maini ya mbuzi  pale Moshi. Jamani Mwisho wakunuku. Chakula Bado kiko jikoni.