GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, January 31, 2014

Doris-Masai Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Hakika Doris alitokelezea. Safi sana 

Inapendeza sana mtu akidumisha Mila. Kimasai Zaidi


Nice


Doris akiwa na Matron wakeMatron wa Doris. Safi sanaDoris akiwa na mume wake mtarajiwa ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana

The TeamNice

Jamani wametokelezea. Safi sana

Nice


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


Upendo kwa wazazi


Kabla ya shuhuli maharusi watarajiwa walipata barakaKeki nayo ilipigwa swagga za kimasai. Safi

Doris akiingia ukumbiniMoment
Nice

Mc Mdachi naye alikuweko. Safi

Mwisho wakunuku