GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 1, 2014

Happy New Year wadau wa GRM production. Mwaka Mpya, Mambo Mapya ,Maswagga Mapya. Hi ndio kauli mbiu ya 2014. Mungu atupe nguvu na uzima 2014 . 
Coming Soon

Safi. Chakula ndio kwanza kiko jikoniSwaggaaa. unusual angle. Hapa lazima nijikubali mimi na Nikon D4

Safi. Wadau wa GRM Production Kaeni mkao wakula 2014 tumejipanga.