GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, June 30, 2011

Jicho lasamaki latinga kanisani. Dah kweli jicho linaraha yake cheki mwenyewe. Jamani hapa nimewabeep chakula bado na sizani kama kinaruhusiwa kupakuliwa hazarani!



Hakika jicho linatisha

Dah

Nimekubali jicho




Safi jicho




B.G

Safi Dada



Nice



Wadau Muhimu

Safi Baba

Nice

Safi sana Dada T Hakika umependeza. Mwenye wivu na ajinyonge

Dah Hakika mmependeza

Nimewaonjesha kidogo Maswagga. Safisana A

Siku Jovinary alipo funga pigu za maisha na Haika. Hakika ilikuwa ni siku ya kipeke kwa maharusi hawa. GRM tunawatakia maisha mema yenye furaha na upendo.


Jovinary  akiwa na My wife wake Haika. Safi sana

Safi sana Hakika mlipendeza sana


J & H wakishow love safi sana





Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Jovinary aka Mume wa Haika. Sasa baba usisahau kale kambuzi ka huko uliko.


Kama Malaika



Haika Aka Mke wa Jovinary. Safi sana mpora


Jovinary akiwa na Bestman wake

Wednesday, June 29, 2011

Mariam's Night. Hongera sana Dada Miriam

Miriam akitowa swagga. Safi sana hakika ulipendeza sana

Mashalaaa!


Nice


Miriam akiwa na Matron

Safi sana

Nimekubali hili swagga






Ukumbi safi sana


Mambo ya Chicha. Safi sana

Miriam akiingia ukumbini

Kitamba cheupe

Miriam akiwa na mumewake mtarajiwa. Ila kwasasa ni Mume na Mke. Hongereni sana bi Miriam na Mume!

Mambo ya Dafuuu

Safi sana