GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 24, 2011

Dar Fashion Festival yazinduliwa kwa kishindo kikubwa Dar es salaam. Sasa ngoja ni Beep kidogo alafu nitawapigia baadae.

Kwakweli mambo yalifana sana kama unavyoona logo ikiwaka moto kumaanisha mambo yameshaiva. Kulikuwa na wabunifu wengi tuu na nitawaletea ubunifu wao.Wadau wakitowa maswagga


Namuona Madam na Lady JD safi sana kweli mmependeza


Mbunifu Rio Paul. nitawaletea ubunifu wake baadae

Mbunifu Suzan akiwa na Priscilla. Safi sana. Hawa wanamiliki Kilechia Fashions and Designing. Safi sana wakilisha mkoa wa kilimanjaro. Aika Mayeeeeee kukicha nitawaletea ubunifu wao


Nice Dah! Nimekubali madam

Add caption

Waandaaji wa DFF Safi sana.  na Hongereni  kwakweli kila kitu kilikuwa super na walio fika hawata sahau maishani mwao jinsi mambo yalivyo kuwa super


Nawaonjesha kidogo ubunifu wa Evelyn. Yeye anakuja na Eve Collections
Mbunifu Evelyn. Safi sana hakika mwaka huu patachimbika! kwenye fani ya ubunifu wa mavazi.
Jamani More to come. Kaeni mkao wakula.