![]() |
| Safi sana dada hakika ulipendeza na sherehe ilifana sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Hapa wakiwa bado watarajiwa ila kwa sasa ni mke na mume |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Pia kulikuwa na burudani za kumwaga |
![]() |
| Naona hapa akimtambuwa mume wake mtarajiwa huku papa Malongo akiangalia kwa umakini |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Kamati ikiserebuka |














No comments:
Post a Comment