GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, June 30, 2011

Siku Jovinary alipo funga pigu za maisha na Haika. Hakika ilikuwa ni siku ya kipeke kwa maharusi hawa. GRM tunawatakia maisha mema yenye furaha na upendo.


Jovinary  akiwa na My wife wake Haika. Safi sana

Safi sana Hakika mlipendeza sana


J & H wakishow love safi sana

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Jovinary aka Mume wa Haika. Sasa baba usisahau kale kambuzi ka huko uliko.


Kama MalaikaHaika Aka Mke wa Jovinary. Safi sana mpora


Jovinary akiwa na Bestman wake