![]() |
| Baada ya kumaliza kazi weekend hii nilikwenda kikazi kilwa ndio maana nikaliacha libeneke kwa muda. Hapa nikiruka huku nimekaa |
![]() |
| Ndege kwa ndani |
![]() |
| Kwakweli kumbe dunia ni ya duara |
![]() |
| Kwakweli kisiwa cha songosongo kinatisha yani full umeme na hakuna mgao. lazima niwape tano PanAfrica E na Songas! haya ndio maendeleo tunayoyataka |
![]() |
| Dah yani bongo imefunikwa. Umeme huku haubagui nyumba. ila bongo eti nyumba ya nyasi haiwekewi umeme! |
![]() |
| Maswaga ya angani. Thanks Captan! |








No comments:
Post a Comment