GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, June 16, 2011

Maswagga mapya ya Simon, Sasha na Aika

Masuper model Aika, Sasha na Simon. Hapa naona simon anasema mtu tatu noma tumekuja kuwashika


Simon akitowa Swagga


Sasha akitowa Swagga Safi sana

Dah nimekubali SashaSafiSimon na Aika

Aika huyu nisuper model wetu mpya. kasha mwaga wino kupiga kazi na sisi

Hili swagga nimelikubali