GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, June 14, 2011

Siku Basso Kinunda na Cecilia Masaga walipo funga pingu za maisha. Hakika ilikuwa ni siku ya kipeke kwa maharusi hawa. Na beep kidogo tuu mambo yalivyo jiri

Bassa akiwa na my wife wake Cecilia. Safi sana

Nice


Nimependa hili SwaggaCecilia kama malaika! Safi sana hakika mlipendeza sana na sherehe ilifana. Kweli Diamond VIP hall palikuwa hapatoshi
Dah hiligauni nimelikubali kama la Catherine Middleton Cecilia akiwa na matron wake


Bestman

Basso Mume

Hata wazazi walitupia pamba za kufa mtuu. Safi sana


Maharusi wakiwa na walinzi wao


Nice


Dah hili swagga nimelikubali sanaKweli na huyu mtoto anakipaji cha umodel. Safi sanaBwana harusi akiwa na Bestman
Safi sanaGide Boy Safi sana Baba

Mwenye kiti wakamati

Nikitowa Swagga na maharusi

Basi nahayo ndio yaliyojiri kwenye mobile studio 

Mwanakamati . Safi sana