![]() |
| Bassa akiwa na my wife wake Cecilia. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Nimependa hili Swagga |
![]() |
| Cecilia kama malaika! Safi sana hakika mlipendeza sana na sherehe ilifana. Kweli Diamond VIP hall palikuwa hapatoshi |
![]() |
| Dah hiligauni nimelikubali kama la Catherine Middleton |
![]() |
| Cecilia akiwa na matron wake |
![]() |
| Bestman |
![]() |
| Basso Mume |
![]() |
| Hata wazazi walitupia pamba za kufa mtuu. Safi sana |
![]() |
| Maharusi wakiwa na walinzi wao |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Dah hili swagga nimelikubali sana |
![]() |
| Kweli na huyu mtoto anakipaji cha umodel. Safi sana |
![]() |
| Bwana harusi akiwa na Bestman |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Gide Boy Safi sana Baba |
![]() |
| Mwenye kiti wakamati |
![]() |
| Nikitowa Swagga na maharusi |
![]() |
| Basi nahayo ndio yaliyojiri kwenye mobile studio |
![]() |
| Mwanakamati . Safi sana |











































































u all luk so btfl..
ReplyDeletemay God bless ur marriage..cecy luv u luk mwaa with ur hubby.
Bless u...BACD2010