GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 8, 2011

The Wedding of Eliud and Stella. Na Beep Kidogo tu jinsi mambo yalivyo jiri

Eliud akiwa na My wife wake Stella. Safi sana hakika walipendeza sana


In Love
Best man na Matron


Nice
Stella-Mke wa Eliud

Bestman na Matron Safi sana

Mume wa Stella-EliudUpendo kwa WazaziSafi sana Matilda akiwa na Mumeo. Huwa nafurahi sana kuona maharusi tulio fanya kazi zao wakiwa pamoja. 

The FamilyNice

Safi sanaBi harusi akiwa na the boys


Nimekubali swagga la bibi

The Girls safi sana


Nice

Safi sana. Kana nilivyo sema ninapenda kuwaona maharusi wangu wakiwa pamoja

Safi sana. Baba naona mambo sio mabaya.
The first Dance

Hakika hi harusi lazima itinge kwenye kumi bora. Yani kweli kuna maswagga ya kufa mtu.  Nimekubali hili -Just MarriedThis is one of my best pix. nimependa hilikanisa jinsi lilivyo-msasani. Kweli ukiingia ndani  basi imani inakurudi gafla

Hakika full upako


Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond -Kubwa

Nice. Hi ndio meza ambayo maharusi walikaa


Kama kawaida bwana harusi hakuwacha kuipa shavu timu anayo ipenda Chelsea. Hapa nazani Stella inabidi uwe unatowa Viza pale timu ya Chelsea ikicheza. Kama atachelewa hakika anafuatilia kandanda. Yani mashabiki wa timu nyingine walinunaje maana mpaka kwenye meza glass zilikuwa zina lebo ya Chelsea. Safi sana

Dah nimekubali hi keki.-Monica unatisha


Kama kawaida chakula kilikuwa chini ya dada yetu Dorkas-Mama wa bufeeee na nyama chomaaaaa

Dah nimekubali hii setup-Safi sana dada dorkas
Maharusi walianzia Hasali Mwezini hapa- Dah nimekubali hi hotel-Kunduchi Beach Dah simchezo

Jamani mwisho wa kunuku. GRM inawatakia maisha mema yenye furaha na amani Eliud and Stella