GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 30, 2011

The wedding of Kenneth and Adeline Tujikumbushe kidogo jinsi mambo yalivyo jiri

Safi Kenneth and Adeline


Hakika Bibi harusi kalitendea haki gauni lakeNice


Safi sana

Hili Gauni si mchezo

Maharusi wakiwa na Best man na Matron


Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mliman City

Hakika haya ni mambo ya Lotus na stage inayo badilika rangi kila saa kama kinyonga

Namimi ngoja nijifagilie nilitendea haki haya mapambo
Dada yangu Maza akiwa kazini. Safi sana uko juuu

Naelekea kanisani mwenye wivu ajinyonge!


Dada Mwamvita Safi sana. Hakika ulipendeza sana

Nice Salimia Ujerumani

NiceNimependa bibi harusi hakutaka watu wabebe gauni lake. Akaliachia ljibwage. Safi sana hivi ndivyo unalitendea haki gauni lenye mkia mrefu. 

Jamani huyu Dada anaimba. NicePingu zikiwa zimetuliaGRM tunawatakia maisha marefu yenye upendo, Furaha  na amani.
Wadau bado tuko mapumzikoni nikipata net nitazidi ku-update  hili libeneke letu. Niko porini kabisa na hapa nilikuwa juu ya mti huwezi amini