GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, April 15, 2013

The wedding of Dr Erick and Chibesa onja kidogo. Chakula bado kiko jikoni

Erick and Chibesa safi sana hakika walipendeza sana

I love this pix dah safi sana
In love

Dr Erick anafanana na 50 cent au nimachoyangu??Hakika Chibesa alilitendea haki gauni lake la harusi


In Love

Nimekubali hili swagga

Nimekubali. The wedding Song


Keki. dah nimeikubali.
Niko safarini kidogo wadau ila nitawaletea chakula kamili