![]() |
| Damaris and Patrick safi sana hakika walipendeza sana. Kiswagga zaidi |
![]() |
| Nimekubali hili swagga |
![]() |
| Kwakweli huwa kama maharusi wanakuwa wametenga muda mrefu wa kupiga picha lazima kuwe na maswagga makali. Safi sana |
![]() |
| Hakika Damaris alilitendea haki gauni lake la harusi |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| In Love |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
![]() |
| Patrick akiangalia kiatu cha mke wake Damaris. Safi sana |
![]() |
| Kiatu cha Bi harusi kikitowa swagga |
![]() |
| Bi Harusi akiwa na the girls |
![]() |
| Safi sana kweli nimewakubali |
![]() |
| The Boys |
![]() |
| Swagga la Baba mwenyenyumba |
![]() |
| Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia maharusi hawa Maisha mema yenye furaha, upendo na Amani |

















































































God bless you guys, Mlipendeza sana
ReplyDeleteJuddy