GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 16, 2018

Kilimanjaro Marathon 2018 by Gabriel Makupa


Event :      Kilimanjaro Marathon
Location:  Moshi
42 KM:     459
21 KM:     5332
5  KM:      5000
Photo by Gabriel Makupa

Kwa Kweli toka Kilimanjaro Marathon imeanza zaidi ya maka 10 iliyopita nilikuwa sijawahi kushiriki au kwenda dah  kweli nimeamini ni bonge la event ambayo sio ya kukosa. Mwaka hu nilikimbia 'kimoyomoyo' but next year 3 March 2019 nitakuwa full naanza kujifua kuanzia sasahivi. Nitakimbia KM 42


Lol Mzuka ulinipanda 
Gadna naye alikuwa anakimbia kimoyomoyo

Yani unakimbia ki swagga.  Hapa mkimbiaji akipiga Selfie  alikuwa bado hata hajamaliza kukimbia





Dah hi niliyo beba sio kwa ajili ya kupuliza dawa. Ni kwa ajili ya kuwamwagia maji wakimbiaji wapoe

Dah Jamaa anakimbia lol 


Kweli alini motivate. Safi sana


Gadna akiwapa wakimbiaji maji. Thanks to Simba Cement






Ukisikia joto unaoga Live. Thanks to Simba Cement












Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more