GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, July 11, 2013

Evelyne Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri. Chakula bado kiko jikoni!

Hakika Evelyne alipendeza sana


Safi sana


Evelyne akiwa na mumewake mtarajiwa Mheshimiwa Diwani. P. Tarimo

In Love
Evelyne akiwa na Matron wake

Upendo kwa wazazi

Chezea bibi. Safi sana. Jamani bibi alitokelezea


Hakika walipendeza sana.

Wazazi wa Bwanaharusi mtarajiwa. Safi sanaHakika jumamosi nitakutana nao moshi kwenyeharusi. Cant wait hometown. PMC anda mbuzi na Mtura 
 
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More


In Love


Safi

Hakika Mpambaji aliutendea haki huu ukumbi wa mlimani city. Hata mimi niliutendea hakiKeki. Dah kama kawaida keki ni kutoka royal. nawakubali sana hawa dah maandazi , chapati, keki mhhh simchezo. hongera sana E. Kiwale kwa Kutukomboa.Jamani kama nilivyosema chakula bado kiko jikoni naomba niishie hapa maswasaga zaidi nitawaletea. Ngoja kwanza nikafanye service ya gari kuelekea moshi kwenye harusi