![]() |
Rais Obama akipita pande za mwenge |
![]() |
Akipita katika kipitashoto cha Mlimani City |
![]() |
Safi sana polisi wa Tanzania. Kwakweli wamefanya kazi. Ningekuwa na uwezo wakuwapa likizo ningewaambia wapumzike japo siku mbili. |
![]() |
Jamani haya magari yana engine kubwa Huo mgurumo utazani mashine ya kusaga kokoto. |
![]() |
Rais Obama akipita maeneo ya Mlimani city. kwakweli nimefurahi sana kumpiga picha. |
![]() |
duuuu safi nimewakubali FBI na CIA |
![]() |
![]() |
Simon na sasha waliniambia hawaendi shule wanataka nao wakaimarishe ulinzi wa Rais Obama. |
![]() |
Wakinionyesha maswagga ya Bruce lee |
![]() |
Dah |
![]() |
Sasha usije ukavunjika kiuno. |
![]() |
Safi sasha aka Nikita |
![]() |
Jamani mwisho wakunuku. Sasa nirudi kwenyekazi . |
No comments:
Post a Comment