GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, July 25, 2013

The Wedding of Priscus and Evelyne. Part 1. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika Jiji La Moshi

Evelyne and Priscus hongereni sana.

Safi

Hakika Mlitokelezea sana


In Love


Nice


Safi sana
Hakika Evelyne alipendeza sana na alilitendea haki hili gauni lake la harusi.

Nice
Swagga la Baba Mwenyenyumba. Safi sana . Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron


The Girls
Nice
The Moment
The Boys

Swagga hatarishi
Swagga la Chungulia Mwali

Kwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye Read MoreNiceNamimi nikijaribu kutowa swagga. Dah mpaka leo suti yangu yaharusi inanitosha. Since 2005
Upendo kwa baba


Priscuss akiwa na Wazazi wake (Mr and Mrs Jacob Peter Tarimo)

Bado tuko pamoja (Mr and Mrs J .P Tarimo)CCM Oyeeeeeeee

Safi

Upendo kwa Watoto

Swagga nje yakanisa la Kristo Mfalme-Moshi

Jamani Nilizikubali hizi baruti. Simchezo


Woow I love this


Dah hapa nimejikubali


Jamani Chakula bado kiko jikoni. Yani Nilipiga  picha 3,987. natakiwa niprint picha 300 mhhh kazi iko. Hapo sijajumlisha za kijana wangu. Duhhh Hi Harusi inapicha  kama 5,000. Kazi kwelikweli. Jamani nawatakia weekend njema.