GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, July 10, 2013

Amby's Ladies party. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Amby's hakika alipendeza sana. Kweli ulijipanga


Nice. Kama Kawaida mambo ya makeup alikuwa Dada Maznat
waweza kupiga Maznat Bridal no 0752444470 0r 0783444470

Nice


Nimependa sana hi nguo. Sijui nani kaishona. I wish washiriki wa Miss TZ waige maswagga hapa

Pendeza sana

Amby's akiwa na Matron wakeUpendo kwa Mama

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
Safi sana

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreAmbys akiwa saloon kwa Maznat. Safi sana


Ukipendeza lazima ufurahi


Jamani hapa sio kwenye duka la kuuza furniture. Ni zawadi za Amby's. mambo ya K Party. Chezea wewe

Mama Akimkabizi kitanda. Mhhh No Comment. Kama mama  Alisema 'Kukuruka Mwanangu'

Amby akitowa swagga


 Kwaniaba ya GRM production Dada yangu Ambikile Nisima nakutakia maisha mema yenye furaha, amani na upendo.