![]() |
| Amby's hakika alipendeza sana. Kweli ulijipanga |
![]() |
| Nice. Kama Kawaida mambo ya makeup alikuwa Dada Maznat waweza kupiga Maznat Bridal no 0752444470 0r 0783444470 |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Nimependa sana hi nguo. Sijui nani kaishona. I wish washiriki wa Miss TZ waige maswagga hapa |
![]() |
| Pendeza sana |
![]() |
| Amby's akiwa na Matron wake |
![]() |
| Upendo kwa Mama |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
![]() |
| Safi sana |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
![]() |
| Ambys akiwa saloon kwa Maznat. Safi sana |
![]() |
| Ukipendeza lazima ufurahi |
![]() |
| Jamani hapa sio kwenye duka la kuuza furniture. Ni zawadi za Amby's. mambo ya K Party. Chezea wewe |
![]() |
| Mama Akimkabizi kitanda. Mhhh No Comment. Kama mama Alisema 'Kukuruka Mwanangu' |
![]() |
| Amby akitowa swagga |
![]() |
| Kwaniaba ya GRM production Dada yangu Ambikile Nisima nakutakia maisha mema yenye furaha, amani na upendo. |






























































































wishing you love and joy in your marriage life
ReplyDelete