GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, July 25, 2013

The Wedding of Priscus and Evelyne. Part 2. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri katika jiji la Moshi.Mr and Mrs Priscus Tarimo. Nice


Dah Nilifurahi kurudi katika jiji langu la Moshi. 

Kweli hi harusi ilifana sana  na kivutio kikubwa pia ilikuwa ni fataki zilizolipuliwa karibia na mwisho wa shuhuli. Bwana harusi alikuwa  hajuwi kuwa wanakamati walimuandalia fataki. Dah sikujuwa kuangalia fataki kuwa ni raha. 

Harusi ilifungwa Christ the king Cathedral Moshi mjini. Dah sikunyingi sijaingia katika hili kanisa. Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa nikiwa  secondary moshi ~1995s

Pingu zikipata baraka. Dah nimekubali my new HD Lensi. Mpaka maji yabaraka nimeyapata


Priscus akimvisha Evelyne Pingu za MaishaTangu nimekuwa nafanya hizi shuhuli sijawai kushuhudiwa maharusi wanapewa salamu na baraka za kufunga ndoa haswa wale wa RC kutoka kwa Papa. Ila ni siku hi ya Priscus na Evelyne nilishuhudia wakipata salamu za pongezi kutoka kwa Papa  Francis

Salamu kutoka kwa papa ndio hizi. Yani hizi salamu nazani lazima zitundikwe pale sebuleni kwa maharusi.Wakibishana kidogo wanarudi kwenye salamu za Papa@@@@ dah kweli ni baraka ya aina yake.
Wazazi wakipeana pongezi baada ya ndoa kufungwa.


Upendo kwa Baba wa Ubatizo wa Priscuss


Gari la Maharusi likitowa swagga


 Yep hapa nimejikubali sana. Huwa sio kazi rahisi kupiga picha jengo Refu  na watu waonekane pamoja na jengo 


 Evelyne akitowa swagga ndani ya gari

Harusi ilifanyikia katika ukumbi wa TPC Moshi au Kiwanda cha TPC


Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
Kudumisha mila. Mbege ilikuweko. Dah ilikuwa tamu balaa.


Jamani Hivi ndivyo Keki au ndafu ya kichaga inavyo chomwa. Taratibu
Dr alikuweko. Safi sanaMheshimiwa Mkuu wa Mkowa wa Kilimanjaro akiwasili ukumbini. Safi sana
Jamani Nimekubali ubunifu wa Moshi. Hapa Sio kuwa huyu kijana anapiga dawa ya mbu. anagawa Red wine. Chezea wachaga

Dada akimiminiwa RedWine. Nimekubali hii. Yani bongo na ujanja wetu hii bado hakuna. iko moshi tuuu. na Kwa Mzee Criss kama sijakosea
Upendo kwa wazazi wa Evelyne.
Evelyne akiwa na wazazi wake. Safi sana


Upendo kwa BabaSwagga la CCM OyeeeeeeeeeeeeVijana wangu wamezoea Haliyahewa ya Dar es salaam. Walipofika moshi ni makoti tuuu
First Dance
Keki


Kama kawa Bendi ya Kalunda iliwasha moto balaa


PMC

MC

Mheshimiwa Diwani aka Bwana Harusi akitowa shukwani kwa wageni waalikwa na kamati


John The Don. Meya Mtarajiwa wa Moshi Mjini


Mukesh alikuweko safi sana Mzee wa UpTown. 


Nimekubali hizi fataki. Hebu nawewe pata burudani ya kimyakimya. Nitawawekea ka clip kadogo cha video soon
Nimejikubali kwa kunuku vizuri hizi fataki


Jamani Mwisho wakunuku.