GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, April 7, 2012

Dah hi ndio picha ya mwisho ya Kanumba aliye iweka kwenye BBM

 
Dah nakumbuka nilivyo mpiga hi picha kanumba ofisini kwangu tulikuwa tuna tengeneza ile filamu ya Young Billionaire. Hapa nakumbuka alikuwa anajaribu hilo koti kama litamtowa vizuri. na Ndio picha yake ya mwisho kwenye BBM