GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, April 7, 2012

Dah Dah Kanumba ,Rafiki yangu, Ndugu yangu R.I.P.

Rafiki yangu kanumba kweli tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi. R.I P

Sina chakusema rafiki yangu ila kwakweli nimeshanga usingizi umeniisha gafla mida ya sakumi usiku kumbe ndio ulikuwa unatutoka. I will miss u sana tuu.  

Dah ingawa nimekuja moshi jana inabidi nijeuze. 

Hakika Ulikuwa mtu wa watu sana hakuna atakaye bisha.

Kwakweli siamini ila ndio hivyo. Kwaniaba ya Familia yangu, Grm Production na wadau wote wa GRM naipa pole familia ya kanumba. Najuwa hichi kitakuwa kipindi kigumu sana ila tufanyaje yameshatokea sote tuko safarini.