GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, January 10, 2020

Bragging Social Hall. Kutana na Ukumbi mkali ulioko Goba.

Name:              Bragging Social Hall
Location:         Goba
Photography:  GRM Production- GM
Contact:           0754 563 226
Services:    Wedding ,Sendoff, & Kitchen-part 
Nimeona niwe nawajuza kuhusu mambo yanayojiri kwenye Tasnia hii ya mambo ya Sherehe. Leo nawaletea ukumbi mpya laking umeanza kufanya kazi toka 2019 Bragging Social Hall
Pia kwenye huu ukumbi kunasehemu nzuri ya kupigia picha. ukikodi hu ukumbi Hamna haja ya kwenda sehemu nyingine kupiga picha. Unamaliza kila kitu ukumbini
Barabara ya kufika ni lami. Unaweza kupitia barabara ya Goba au Makongo juu ukafika



Ukumbi kwa Ndani


Baadhi ya picha nilizopiga hapa ukumbini kwenye gardernya Bragging Social Hall
Nilipokuja kwenye harusi ya Bwire ndio niliuona huu ukumbi. Yani mwenye ukumbi yuko flexible anasikiliza mnachotaka na kuwapatia. Safi sana 





Mwisho wa kunuku. Kila wiki nitakuwa nawaletea vitu mbalimbali vinavyohusu hii fani yetu ya mambo ya sherehe ukumbi, Mc Dj na Etc

No comments:

Post a Comment