2019 tumeona fani yetu hii ya upiga picha iki kuwa kwa kasi, kwa wapiga picha kuongezeka na kuja na ubunifu wa hali ya juu. Lakini katokana na hali ya kiuchumi bei ya huduma za upiga picha zimeshuka badala ya kuongezeka. Nimatarajio yangu mwaka 2020 mambo yatakuwa mazuri zaidi na fani yetu hii itazidi kukuwa. Nimatumaini yangu pia wapiga picha watatambua thamani yao yani huduma watakazozitoa ziendane na gharama ya hizo huduma watakazo zitoa.
Kama Kawaidi 2020 tunakuja na mambo mapya. Pia tunatarajia ku Rebrand muda sio mrefu |
No comments:
Post a Comment