GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, December 15, 2010

Yaliyo jiri siku Al-noor na Shirley walipo funga pingu zamaisha pale Elenik na reception kufanyika Mlimani City Hall. Kwa Kweli sherehe ilifana sana. Kama mnakumbuka behind the scine za hii shuhuli nilisha waletea.


Al-noor na Shirley au  My wife wake


Unajuwa ukikuta maharusi wamependeza namna hii mpiga picha  unakuwa huna kazi wewe ni kuphotoa tuu

Hapa wakiwa na wasimamizi wao

Wakipozi kwa mara yakwanza kama mume na mkeSafi sana no comment

Baada ya kufunga ndoa walikwenda kujianda na sherehe na hapa walibadili pamba 

Alnoor nawe una swagaa
Duh simchezoBest Man

Matron

Bi harusi akiwa nawapambe wake


Inabidi nikutafutie dili ya tangazo

dah

Safi sana

Kwanini hamshiriki mashindano yaurembo?

Sina cha kusema 

Dah

Duh

Wanakamati wakiwa nje kabla ya sherehe kuanza

Maharusi wakikata utepe kuashiria sherehe imeanza na pia ni mwanzo mpya wa maisha yao

Hili gauni la bibi harusi lilinivutia sana

Namuona kaka Deo akijianda kufungua shampeni


Yani hapa palivyopendeza utazani Mbinguni

Lazima tudumishe mila hapa kama inavyoonekana keki ya kimila a k.a Ndafu

Hi keki si mchezo

Wakati wa kupata chakula

Naomba hi siku isiwe mara ya mwisho kulishana chakula!


Dada Cleo nakuona!

Sikufanikiwa kupata jina la huyu mzee ila mavazi yake yalinivutia sana pamoja na pozi. Nahisi anaundugu na mfalme fulani hivi.

Bi Harusi akitoa salamu. Nakumbuka hapa alitoa sababu kwanini kakubali kuolewa na Alnoor. Safi sana na inapendeza kuwa na mke anaye jiamini namna hii. 

Kaka Kibonde ndio alikuwa MC wa shuhuli.


Jinsi walivyo valishana peteMambo yalivyokuwa Elenik hallLady JD naye alitoa burudani ya kufa mtuu. Hongera sana dada.