GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, February 19, 2013

The Wedding of Karmel Maktauwa (Karim) and Camilla Richard Lema. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Karim and Camilla Safi sana hakika mlipendeza sana


Nice

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Best man and Matron
Hakika Camilla alilitendea haki gaunilake la harusi
Upendo kwa wazazi
Kama Kawa Glam Madam alifanya kazi yake ipasavyo


Safi


Pingu

Maharusi wakiingia ukumbini
Jamani Mwisho wakunuku