GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, February 5, 2013

Kanisa la Kwanza Tanzania RC. Utali wa ndani Part 3

Katika mapumziko yangu ya Xmass nikiwa katika jiji la Moshi nikiwa natembea nililiona hili kanisa. Kwakweli nilijikuta natowa Camera yangu na kuanza kulipiga picha. Nilipoingia ndani ya kanisa niliona kama niko sehemu tofuti kabisa( Kama Peponi hivi). Nikajuwa hili kanisa lazima linahistoria ya kipeke. Ilibidi Nimuulizie Baba Paroko nikaambiwa alikuwa katoka. Ila wasaidizi wake walinipa maelezo yakutosha na ndipo nikagundua kumbe hili kanisa nilakwanza Tanzania na linamiaka zaidi ya miaka 200

Dah sasa kwa wale wachaga ambao ni RC wanao rudi moshi wakati wa Xmass inabidi hata sikumoja ukasali hapa. Hilikanisa ndio RC kwa upande wa Tanzania ilianzia. Hata kulichangia kwakutowa fungu la kumi 

Hili kanisa liko Kilema- Moshi

Lile kanisa la Bagamoyo nila Tatu. Sasa hapa kunautata kati ya kanisa la kibosho na labagamoyo lipi nilapili.





Dah yani nilipotembea hapa nilihisi niko kwenye ile bustani ya .... Nazani Mmenipata

Dah kwakutunza mazingira nawapa asilimia 100 hi parokia ya Kilema



Niliambiwa kuwa hili nishina la kwanza la kahawa Tanzania. Bado linaza mpaka leo. Safi sana



Nikitowa swagga fupi baada yakusali. Hakika nilijiona mwepesi


Hi nishula ya kwanza Kilema. Iko pembeni ya hili kanisa

Kweli inahitaji msaada. Imetowa viongozi wengi sana. 


Kanisa Kwa ndani




Hapo palipozungushiwa chuma ni kaburi la Askofu wa kwanza Mwafrika kuliongoza hili kanisa. Kuanzia mwaka 1960


Kaburi la Askofu ndani ya kanisa




Jamani mwisho wakunuku. Nitawaletea kanisa la pili Tanzania

No comments:

Post a Comment