GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, January 20, 2016

The Wedding of Dr Joseph Buberwa and Riziki N. Onja kidogo Jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Dr Joseph B na Riziki walipendeza sana. 


Nice
Swagga la chungulia chini!


Swagga la Pingu za maisha
Nice

Hakika Riziki alilitendea haki gauni lake la Harusi

Swagga la Baba MwenyeNyumbaSwagga la Mama Mwenye Nyumba

The Girls


Maharusi wakiwa na wasimamizi was Bestman na Matron

Kwa Maswagga zaidi mama haha kwenye Read more
Upendo Kwa wazazi

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Ubungo Plaza

Keki

Mrisho wakunuku