GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, July 27, 2011

Siku Eric Baraka Chijoriga na Nanyorri Ngalesoni walipo joined together as one in Holy Matrimony. Na beep kidogo tu! chakula bado kiko jikoni

Eric na my wife wake Nanyorri.  Safi sana hakika mlipendeza Sana 

Nice





Safi sana Nanyorri. Hakika gauni umelitendea haki



Mume wa Nanyorri-Imelda 

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Nimekubali hili swagga kutoka kwa Matron

Bestman na Matron. Hawa hawako kikazi ni Mr & Mrs


Upendo kwa wazazi

Upendo kwa mama. Baraka akiwa na Mama yake Dr Chijoriga. Safi sana









Dah hakika wapambaji waliutendea haki ukumbi wa Mlimani City



Kwakweli hu ubunifu nimeukubali. Kweli nawapa 100% 





Keki



St. Joseph Cathedral. Hapa ndipo maharusi walipofungia pingu za maisha

Nimekubali hi Picha

Mwisho wa kunuku!

3 comments:

  1. kama kuna kitu kilichonifurahisha leo ni kuona hii harusi... Eric congratulations yaani m so happy for both of u Mungu awatangulie katika maisha yenu always keep God ahead.....

    Namuona na Kamara Kalembo ndani ya nyuimba Loyola Oyeeeeee....

    Gwn

    ReplyDelete
  2. hello
    can anybody please please tell me ni nani aliepamba ukumbi
    its gorgeous
    plz plz plz

    ReplyDelete
  3. Pliz pliz tell tell mpambaji wa ukumbi. It was really wonderful.

    Hongera Eric and Nanyorri

    ReplyDelete