![]() |
Jamani Ahadi ni deni Kama nilivyosema nitawaletea wabunifu walio tesa kwenye DFF sasa leo naanza na Kilechia Fashions |
![]() |
Wale wanao penda kumechisha nazani hapa wamefika |
![]() |
Safi Dada |
![]() |
Dada Suzan huyu ni Creative Director |
![]() |
Priscilla-Managing Director-Kilechia. Hili neno Kilechia nazani linatokana na neno la Kichaga kama sijakosea. Ahh nimekumbuka maana yake kitu kizuri au kimependeza. |
Labda, tupo pamoja mkuu!
ReplyDelete