GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, July 6, 2011

Kama nilivyosema nitawaletea wabunifu walio tesa kwenye DFF 2011. Na leo tuko na Rio Poul

Safi dada


Hichi kivazi nimekikubali. Kinafaa sana kwenye kang'a moko au laki ni pesaNice


Mbunifu Rio akitowa swagga baada ya kutuonyesha ubunifu wake. Safi sana

Hicho kiatu nimekikubali.