GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 18, 2016

Happy New year wadau wa GRM Production!Nilipotea kidogo, nilichukuwa likizo fupi baada ya mapambano ya 2015. Thanks Likizo imekwisha sasa akili mpya, nguvu mpya na mambo mapya. 

Kama kawaida kila mwaka tunakuja na mambo mapya kuanzia vifaa na Technology. Tulianza na HD, tukaja na Mambo ya Hd wireless kwenye Video camera na Plasma TV-(2014-2015) sasa Mwaka huu 2016 ni 3D yani output yetu kwenye upande wa video sasa tutakuwa tunatowa DVD(BD-R) za Blu-ray. 

Hizi DVD-BD-R moja inakuwa na uwezo (Capacity) ya kuweka data kuanzia GB 25-50. Dvd zakawaida zinakuwa na capacity ya 4.7 GB so mambo ya kushoot video kwenye HD alafu unakuja kuconvert ili iweze kuingia kwenye DVD zetu zakawaida umekwisha. Sasa unashoot HD na output ni HD. Na wewe mdau itabidi uwe na DVD deki yakisasa yenye uwezo wa kucheza DVD za Blu-ray yani DVD zenye capacity kuanzia 25GB na kuendelea. Cheki Deki yako kama imeandikwa Blu-Ray Video camera HD Wireless ilitesa 2015 na bado inatesa 2016 kwasababu wanasema Wireless ni habari ya Mjini ukiachia 'Mbwana Samatta'


Tunazidi kuleta mabadiliko kwenye hii sector ya still picture na Video Production.

Tuombe uzima huu ni mwaka wa Kazi

Have a nice Day

Regards

Gabriel Makupa