GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 2, 2010

Joyse Kiria azidi kukamua ndani ya Wanawake live. Kipindi hiki kinaruka EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku( 9 PM)

Joyse akimuhoji Maina ambaye ni msani wa maigizo pia ni muandishi wa habari.

Madam, Joyse na Maina Katika pozi

Joyse  akisikiliza kwa makini

Baada ya kipindi wageni waalikwa walipata picha ya pamoja na mwenyeji wao dada Joyse

Joyse Akitabasamu

George Tyson akitoa muongozo