GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, December 6, 2010

Barabara ya Msata-Bagamoyo yaanza Kuwekewa mkeka-Lami. Kwakweli hii barabara ya msata ukiipita kama unakwenda kilimanjaro utakuwa umefupisha safari na wala hautachoka. Kweli huu mkeka ukikamilika moshi unakwenda kwa masaa 4

Matengenezo yakiendelea ila wameanzia upande wa  msata 

Mafundi wakiendelea na kazi


Hapa kabla matengenezo hayajaanza

Barabara ya msata bagamoyo ikikamilika itakuwa nammna hii

Kweli watu wanao rudigi kilimanjaro kuhiji basi kuanzia msata mpaka Segera mambo yako hivi. Mkeka umesafishwa

Daraja la wami kama hautakuta ajali hapa basi lazima utakuta gari  limeharibika.

Daraja la wami. Sijui kwanini pamoja na watu kujuwa hapa ni hatari lakini kila siku unakuta gari limeanguka

Hii ni Hatari. Barabarani inabidi ume makini.

Wale jama zetu wanao fuatiliaga hizi alama wamejipanga sana kipindi hiki mpaka kwenye 30 wanakaa Dah kazi kwelikweli