GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 9, 2010

Part 2 ya End of Year Party ya Airtel. Alikiba aliwasha moto balaa. Kijana kapikwa na R-Kelly.

Hapa Akiimba wimbo wa One8

Anasauti nzuri sana

Namatongeee!

Alikiba akiwa na vijana wake wa kazi. kweli alinogesha sherehe

Wafanyakazi wa Airtel walishindwa kuvumilia wakasimama na kucheza wakati Alikiba akitoa burudani. 

Dah nao wapo!. Kweli sherehe ilifana sana

Raha Jipe mwenyewe

One Love

Naona na ma MC walishindwa kujizuia nao wakasakata rumba

Simchezo uzalendo ulimshinda akalisakata rumba

Alikiba akizidi kutumbuiza. Palikuwa hapatoshi


DJ Kim nae alikuweko.