GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, December 19, 2010

Brian Maro Alipofunga pingu za maisha na Mahinga. Kwakweli ilikuwa ni siku ya ainayake kwa maharusi hawa. Ifuatayo ni jinsi mambo yalivo jiri.

Brian Akiwa na  My wife wake


Hakika wamependeza sana

kwakweli kwa sisi wapiga picha ukikuta watu wanapozi bila kulazimishwa inakuwa raha sana. Hapa utaona maharusi jinsi wanavyo pendana. All the best.

Dah simchezo

Nimekubali wazee mnatisha

Kwakweli ukiwa unapiga picha za pamoja na watu wakitoa ushirikiano lazima picha iwe nzuri.Nice


Yes we can! Naona bwana harusi umemfunika raisi wa marekani

Mama nimekubali swaga zako


Wasimamizi nao walionyesha swagga zao

Duh

Naona unawakilisha

Huyu mtoto anajuwa swagga!

Inapendeza sana na wasimamizi wakikumbukia siku walivyo funga pingu za maisha

Dah kwakweli  lazima uje kuwa miss Tanzania
Safi sana naona sasa umekuwa mzoefu kwenye harusi. Sasa wapi kamanda?

Nice pozi


Nakumbuka hili swagga lilidirectiwa na bwana harusi


Dogo lazima uje kuwa rahisi


Dah sinachakusema mmnatisha

Nice
Safi sana Brian lazima ubebe mali zako

Hapa maharusi wanaenda kupumzika 

Picha kama hizi huwa nazipenda sana. Zinaonyesha ualisia