GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 2, 2010

Hiki ni kituo kikubwa cha mafuta kilichoko Marangu mtoni ushirika. Ikifika december asilimia kubwa ya magari mazuri ya wachaga wanao rudi kula krismass wanaweka mafuta hapa. Ila tumekitupa sana na huwa kinatukomboa sana. Kituo kingine kiko njia panda. Sasa watu wa Marangu, Mamba , Mwika na Rombo tunakitegemea hiki kituo. Jamani tukiweke katika hali nzuri japo kiendane na magari yanayo weka mafuta hapa. Nimaoni yangu. Namimi Juzi nimeweka mafuta hapa. Hawakuchakachua ila inaitaji moyo!

Kituo cha mafuta Marangu Mtoni mkoa wa Kilimanjaro

Super inapatikana hapa na lita moja  ni tsh 1840 kama pampu ilivyo andikwa hapo.