GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, May 16, 2011

Siku Kunji Meena alipofunga pingu za maisha na Caroline Masongo. Nawaonjesha kidogo!

Kunji akiwa na My wife wake Caroline. Safi sana kweli walipendeza sana

Kama Kawa GRM tulifunga mobile studio ndani ya Diamond Jubilee VIP Hall

Safi sana

Safi sana Nawatakia maisha mema yenye upendo na amani

Best Man

Kunji kama Obama

Bi Harusi Caroline


Bi harusi na Matron


Bi harusi akiwa na wasimamizi wake

Wazee wa kazi na Bi harusi


Best man na Matron Aka Mr and Mrs ....


Best Man

Bwana Harusi Kunji

Safi sana

Swagga la Best man na Matron

Maharusi hakika mmependeza na mwenye wivu ajinyonge!Safi sana


Kunji aka bwana harusi


Bwana harusi na Best man


Safi sana


Maharusi wakishow Love
Safi sana Caroline

Nimekubali baba hili SwaggaNamimi nikatowa swagga na maharusi.