GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, May 6, 2011

Hakika Usiku wa Caroline P. Masongo katika ukumbi wa Diamond Jubilee ulikuwa ni wa aina yake na ulifana sana. Nawaonjesha kidogo jinsi mambo ya livyojiri!

Bi Harusi Mtarajiwa Caroline

Kama kawaida tulifunga Mobile Studio ndani ya  Diamond VIP Hall

Safi sana Caroline


Caroline na Matron wake. Kweli mmependeza


Safi sana

Bi harusi mtarajiwa


Safi sana


NiceRaha jipe mwenyeweMatron

Matron

Matron akitowa Swagga


Nimekubali MatronNice


Safi

Afandee safi sana nimekubali hili swagga!

Biharusi akiwa na mdogo wake. Dah dogo anafanana na Dogo janja!

Upendo kwa mama!

Wana Familia safi sana

Caroline na Matron

Safi

Nice

Super

Hi ni Swagga langu tuu


Dogo janja. sijui kwanini nikikuona nakuita dogo janja. niutani tuu.Safi
Bwana harusi mtarajiwa. ukiwa ukweni lazima uwe na upole ulio tukuka namna hii! Safi sana.


Kwakweli hi Sendoff niliipenda sana. kwani bwana harusi mtarajiwa alikata keki , kufungua mziki . kwa maana nyingine utazani ilikuwa harusi. Safi sana kweli wakwe walimuonyesha ukarimu uliotukuka!

Best man naye akisakata rumba. Sizani kama hapa alikuwa anakaimu au nayeye alikuwa na mywife wake. Hakika walipendeza sana na shuhuli ilifana sana!