GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, May 12, 2011

Hatimaye Elly na Sarah wafunga pingu za Maisha. Nawaonjesha kidogo tu!

Elly na my wife wake Sarah. Safi sana hakika wamependeza sana na sherehe ilifana sana.

Nice

Safi
Nimependa hili swagga la kubeba mali zako! Safi sana


NiceMaharusi wakiwa na Wasimamizi wao. Safi sana
Bi harusi akiwa na Matron


Matron akitowa swagga

Nice

Safi  bi Sarah

Matron safi sana

Best man akiwa na Matron. Ila wako kikazi zaidi!


Elly akiwa na Best ManBwana harusi akitowa swagga


Safi

Best Man

Naona Bestman naye akatowa swagga.

Kiatu kwa mbali!

Bi harusi Sarah

Safi


Bi harusi akiwa na wasimamizi.
Safi babaBaada ya kuwapiga picha namimi nikatowa swagga na maharusi


Upendo kwa wazazi

Upendo kwa wazazi

Naona Baba akifurahia kupata mpora!

Mambo ya burudani ukumbini.Safi sana. Nazani juzi mmetimiza miaka kadha ya ndoa. Nawatakia maisha mema yenye upendo na amani na muishi miaka  zaidi ya 100.

Safi sana 

Upendo kwa mtoto. Hongera dada kweli umelea

SafiHuwa nafurahi sana napo kutana na maharusi na wako pamoja na full in Love. Safi sana Abdul na  Khadija  
Dah kama kawa watu wa kazi hi hawa. Kweli ukiwakuta kwenye sherehe basi ujuwe itafana sana na pia lazima kuna Alagi Alagi...!!
Safi sana Costantine. Kama kawa  nafurahi nikiwaona maharusi wangu.


Kikazi zaidi

WanakamatiNice


Nimekubali hili Swagga

Kama nilivyo sema Alagi Alagi. Ni utamaduni wa hii kamati lazima bwana harusi achezeshwe alagi! 

Namuona wajina G kamukara!


Safi sana Lorna akiwa na Hubi wake

Pia Mheshimiwa Mnyika alikuweko


Safi sana

Nice

Safi sana. Kweli mmependeza sana