GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, July 9, 2013

The Wedding of Deogracious and Sia. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Deo and Sia. Safi sana. hakika walipendeza sana
In Love
Safi sanaSwagga la baba mwenyenyumba


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read More
Kanisa walipofungia pinguSafi sana ni watu wachache sana huwa wanapataga nafasi hi ya first kiss kanisani. Jamani kama haujaruhusiwa na paroko au padri usijaribu maana utafukuzwa. 

Dah hi mbege ilitoka Kilimanjaro. safi sana


Mbege Nitamu sana. Naona wanakamati walikuwa wanaitendea haki mbege. 


First Dance

Jamani Mwisho wakunuku