![]() |
| Deo and Sia. Safi sana. hakika walipendeza sana |
![]() |
| In Love |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Swagga la baba mwenyenyumba |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read More
![]() |
| Kanisa walipofungia pingu |
![]() |
| Safi sana ni watu wachache sana huwa wanapataga nafasi hi ya first kiss kanisani. Jamani kama haujaruhusiwa na paroko au padri usijaribu maana utafukuzwa. |
![]() |
| Dah hi mbege ilitoka Kilimanjaro. safi sana |
![]() |
| Mbege Nitamu sana. Naona wanakamati walikuwa wanaitendea haki mbege. |
![]() |
| First Dance |
![]() |
| Jamani Mwisho wakunuku |





































Congrats to Deo n Sia... You both look good and we wish you a very blessing marriage life.... "ZAENI MATUNDA MEMA"
ReplyDelete