|
Hakika Raphael na Agnes walitokelezea. Safi sana |
|
Nice |
|
The Moment |
|
Nice |
|
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and Matron |
|
Hakika Agnes alilitendea haki gauni lake la Harusi |
|
Nice |
|
Agnes akiwa na Matron wake |
|
The team |
|
Lee Swaggaaaaa. Dan hapa nimejikubali na nimekubali hii team
|
|
Swagga la chungulia chini |
|
Nice |
|
Upendo kwa wazazi |
|
Nice |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
|
Dah Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Goldern Jubilee Hall. Haya ni mambo ya LOTUS |
|
Dah Nimeikubali hii keki |
|
Nice |
|
Dah hapa nimejukubali. Hi view ndio maharusi walivyokuwa wanaona.3D |
|
Makirikiri walikuweko. |
|
Wazee wa Ngwasuma -FM Academia walikuweko. Safi sana |
|
Dah sikujua kuwa moto unaliwa?????!!!!@@@@ |
|
Usije ukajaribu kula moto kama haujui moto unaliwaje. Ila ni mtamu!!! |
|
Na usijaribu kunawa au kuoga na moto |
|
MC wa shuhuli |
|
Mambo ya Wireless |
|
Mwisho wa kunuku. Chakula bado kiko jikoni |
No comments:
Post a Comment