![]() |
| Hakika Evelyne alipendeza sana |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Evelyne akiwa na mumewake mtarajiwa Mheshimiwa Diwani. P. Tarimo |
![]() |
| In Love |
![]() |
| Evelyne akiwa na Matron wake |
![]() |
| Upendo kwa wazazi |
![]() |
| Chezea bibi. Safi sana. Jamani bibi alitokelezea |
![]() |
| Hakika walipendeza sana. |
![]() |
| Wazazi wa Bwanaharusi mtarajiwa. Safi sana |
![]() |
| Hakika jumamosi nitakutana nao moshi kwenyeharusi. Cant wait hometown. PMC anda mbuzi na Mtura |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More
![]() |
| In Love |
![]() |
| Safi |
![]() |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki huu ukumbi wa mlimani city. Hata mimi niliutendea haki |
![]() |
| Keki. Dah kama kawaida keki ni kutoka royal. nawakubali sana hawa dah maandazi , chapati, keki mhhh simchezo. hongera sana E. Kiwale kwa Kutukomboa. |
![]() |
| Jamani kama nilivyosema chakula bado kiko jikoni naomba niishie hapa maswasaga zaidi nitawaletea. Ngoja kwanza nikafanye service ya gari kuelekea moshi kwenye harusi |



















































































































Incredible pictures. Please post the wedding pics. Soila Nairobi
ReplyDelete