GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 22, 2011

Dah hii mvua sio mafuriko tu imetuletea bali hata Moto na Giza. Wakazi wa Makongo Juu tunalala Giza. Tanesco tunaomba mtukumbuke!

Transformer la makongo juu likiwaka moto baada ya kupigwa na Radi

Bila shaka X-mass tunalala giza. Ngoja niende kuhiji. Hope Kilimanjaro hakuna Mvua

Ila nawapongeza kikosi cha zima moto-Temeke kilifika haraka sana. Sitaki kuamini ni kwasababu kuna bomba la Gas ya Songas hapa karibu na transformer. Vibao vya Njano ndio bomba la Songas limepita. Kwa upande mwingine hili transformer ndio jirani yangu. nalimeshachukuliwa nimelimisije. Ila lilivyolipuka hicho kishindo sita ka nikisahau