GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 29, 2010

Niko safarini kidogo ila nilipo wasili nilpokelewa na mizinga 12 pia nilikaguwa gwaride. Nimekuja kula nondos kidogo na kununua vifaa vya kazi. Nitawaletea habari zaidi. kaeni mkao wa kula

Nikipokea heshima.