GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, November 23, 2010

Machozi band na Lady JD wakamua ile mbaya Mlimani City. Nawao pia kwenye Harusi wapo. Kweli huku machozi huku GRM kweli hii harusi ilifana sana. nitaendelea kuwaletea data

Hii ndio machozi band

Lady JD  a.k .a Komando

Nimekuwa teja teja wamapenzi! hapa akiimba huu wimbo hakika watu wote ukumbini walisimama

JD akiimba huku akitabasamu. niwasani wachache wanaweza

Kikosi cha kazi cha machozi band.